Ezekiel 30:12

12 aNitakausha vijito vya Naili
na nitaiuza nchi kwa watu waovu,
kwa mkono wa wageni,
nitaifanya nchi ukiwa na kila kitu
kilichomo ndani yake.
Mimi Bwana nimenena haya.

Copyright information for SwhNEN